Home > Terms > 스와힐리어(SW) > dumu

dumu

Dumu ni aina ya kikombe kilichoundwa imara mara nyingi hutumika kwa kunywa vinywaji moto, kama vile kahawa, chai, au chokoleti. Madumu, kwa ufafanuzi, zina mikono na mara nyingi hushikilia kiasi kikubwa cha maji kuliko aina zingine za kikombe. Kawaida dumu hushikilia takriban 12 ya aunsi ya maji (350 ml) ya maji; kikombe cha chai mara mbili . Dumu ni kasa ya jenzi rasmi ya chombo cha kunywa na kwa kawaida hakitumiki katika mazingira ya mahali rasmi.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

Michael Mwangi
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 0

    Followers

분야/도메인: 과일 & 야채 카테고리: 과일

Ndizi

tunda maarufu zaidi duniani aina inayopatikana zaidi kutoka Marekani ni ya Cavendish ya manjano Zinachumwa mbichi na hupata ladha bora zikiiva bila ...