![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > bia steini
bia steini
Bia steini ni neno la Kiingereza ya aidha vikombe vya bia siku za jadi vilivyotengenezwa kutoka kwa vyombo vya mawe, au mapambo hasa ya vikombe vya bia ambavyo kwa kawaida kuuzwa kama zawadi au vya kuokota. Vinaweza kuwa wazi juu au vifuniko vya kufungwa kwa mkono. Steini kwa kawaida huja katika ukubwa wa nusu lita au lita nzima(au kulinganishwa ukubwa wa kihistoria).
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
Mpendwa Abby
Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...