
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > easter bunny
easter bunny
Ishara ya Pasaka ambayo ina asili yake katika Alsace na kusini magharibi mwa Ujerumani katika 1600, likiwa ni sungura ambayo huleta vikapu vilivyojazwa na mayai yenye rangi, chokoleti na leksak kwa makazi ya watoto usiku kabla ya Pasaka. Easter Bunnies za kwanza zilizoliwa zilitengezwa kwa sukari na keki wakati wa miaka ya 1800 mapema katika Ujerumani.
Sungura huhusishwa na rutuba ya kamani kwa sababu ya uwezo wao wa kuzaa wadogo wengi.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
Making Home Affordable
Mpango rasmi wa Idara ya Hazina & Nyumba na Maendeleo Mijini kusaidia wamiliki wa makazi ambaye ni ikikabiliwa na malipo ya mikopo, au inakabiliwa ...
주요 용어사전
Browers Terms By Category
- 일반 보석(850)
- 스타일, 자르기 & 맞춤(291)
- 브랜드 & 라벨(85)
- General fashion(45)