Home > Terms > 스와힐리어(SW) > mshumaa ya pasaka

mshumaa ya pasaka

Linatumika kuelezea mshumaa kubwa nyeupe linalotumika katika mifumo ya Magharibi ya Ukristo (kwa mfano, Katoliki ya Warumi na Anglikana). Mshumaa mpya ya Pasaka hubarikiwa na kuwashwa kila mwaka wakati wa Pasaka, na hutumiwa katika msimu wa Pasaka na kisha katika mwaka wa hafla maalum, kama vile ubatizo na mazishi. Siku ya Ijumaa Kuu, makanisa mengi huzima mshumaa ya Pasaka kwenye madhabahu yao ili kuonyesha kwamba mwanga Yesu imeondoka. Katika Katoliki ya Warumi na makanisa mengine, mshumaa ya Pasaka huwashwa siku ya Jumapili ya Pasaka karibu na madhabahu kuu, kuwakilisha Yesu kurudi kwa uhai. Kisha mshumaa huwashwa siku 40 inayofuata, mpaka izimwe Siku ya Kupaa.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 1

    Followers

분야/도메인: 페스티벌 카테고리: 크리스마스

vipuzi

Aina ya vijitia inayometameta na mapambo,iliyotengenezwa siku za jadi kwa kutumia kioo, iliotumika katika mapambo ya Krismasi.