Home > Terms > 스와힐리어(SW) > Kupaa

Kupaa

Sikukuu kwenye kalenda ya kiliturujia ya Kikristo ambayo inaadhimisha kupaa kwa mwili wa Yesu mbinguni. Husherehekewa rasmi siku ya 40 baada ya Pasaka ya Jumapili (hii huwa Alhamisi). Kwa sababu Pasaka ni sikukuu ya kusonga, kupaa inaweza kuwa siku yoyoye kati ya Aprili 30 mpaka Juni 3.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 3

    Followers

분야/도메인: 사람들 카테고리: 연주자

Lady Antebellum (almasi , Watu, wanamuziki)

Lady Antebellum ni nchi Marekani bendi ambayo inaundwa na watu binafsi tatu: Charles Kelly, Dave Haywood, na Hilary Scott. Wote Kelly na Scott ni ...