
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > makamu wa rais
makamu wa rais
Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.
Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.
Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
분야/도메인: 페스티벌 카테고리:
Eid al-fitr
Sikukuu ya Waislamu wakuthibitisha mwisho wa Ramadan, Waislamu hawasherehekei mwisho wa kufunga peke yake bali pia kumshukuru Mungu kwa usaidizi na ...