
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > Kitivo cha Uteuzi
Kitivo cha Uteuzi
Istilahi ya pamoja ya jumla ya wapiga kura 538 ambao kirasmi hushiriki katika kuchagua rais na makamu wa rais wa Marekani. Wagombeaji wa urais huhitaji wingi wa kura 270 kutoka kwa vitivo vya kura ili kushinda urais. Idadi ya wapiga kura katika kila jimbo huwa sawa na jumla ya maseneta na wawakilishi ndani ya bunge la congress.
Mfumo wa kitivo ulizuliwa mwanzo kabla ya ujio wa vyama vya kisisa na ulikusudiwa kuruhusu wapiga kura kuwa huru wapigapo kura. Wapiga kura sasa wanatarajiwa kufuata matakwa ya wengi wa watu katika kila jimbo.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
Ndizi
tunda maarufu zaidi duniani aina inayopatikana zaidi kutoka Marekani ni ya Cavendish ya manjano Zinachumwa mbichi na hupata ladha bora zikiiva bila ...
기여자
주요 용어사전
Browers Terms By Category
- 알코올 & 하이드록시벤젠 & 에테르(29)
- 안료(13)
- 유기산(4)
- 중간 생성물(1)