Home > Terms > 스와힐리어(SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 12

    Followers

분야/도메인: 모바일 통신 카테고리: 휴대전화

uliodhabitiwa ukweli

Uliodhabitiwa ukweli (AR) ni teknolojia ambayo unachanganya ulimwengu halisi ya habari na picha ya kompyuta-yanayotokana na maudhui, na zimetolewa ...

기여자

주요 용어사전

Parks in Beijing

범주: 여행   1 10 Terms

Daisy

범주: 동물   4 1 Terms