Home > Terms > 스와힐리어(SW) > batamzinga halali

batamzinga halali

Batamzinga ambao hulishwa nafaka bila ya kupewa dawa ya kukinga uambukizo wa maradhi na wanaruhusiwa kuzurura huru. Batamzinga halali husindikwa na kukaguliwa kwa usimamizi wa marabi. Hii mchakato inahusu kulowa ndege kwa maji ya chumvi ili kuongeza ladha tamu tofauti. kama vile basted au self basting, mchakato huongeza myeyusho kwa nyama kwa uzito ulioongezeka.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    용어사전

  • 0

    Followers

분야/도메인: 언어 카테고리: 문법

usemi halisi

katika usemi halisi, kiina cha kitenzi ndio huwa kinatenda mfano; "aliwatembelea marafiki zake huko chicago"