Home > Terms > 스와힐리어(SW) > batamzinga bichi

batamzinga bichi

batamzinga inaweza kuwekwa chapa kama 'safi' kama hawajawahi wekwa baridi chini ya nyuzi 26 F. Kwa mujibu wa Taifa Shirikisho la Uturuki, batamzinga haugandami kwa nyuzi 32 F. lakini katika joto la karibu na digrii 26 F. Wakati wa kununua batamzinga safi, ni muhimu kuangalia tarehe ya 'kutumika kwa' au 'kuharibika kwa' kwani batamzinga safi hawezi kuwekwa safi muda mrefu sana.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 1

    Followers

분야/도메인: 정부 카테고리: 미국 정부

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu ...

주요 용어사전

Lego

범주: 엔터테인먼트   4 6 Terms

4th Grade Spelling Words

범주: 미술   2 6 Terms

Browers Terms By Category