
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > ishara/ alama
ishara/ alama
Kitu ambacho kinawakilisha kitu kingine, kwa kufanana nacho au kwa kuhusiana nacho kitamaduni. Mara nyingi alama ni vitu au picha zinazosimamia mawazo ya kufikirika, yasiyo na maana au magumu.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
Mpendwa Abby
Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...