
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > elimu ya sehemu nyeti
elimu ya sehemu nyeti
kosa la kiaibu la tamko ambalo lilifaa kumaanisha "elimu ya umma" wakati wa udhamini uliotolewa na Wilaya ya Maeneo ya Shule za Simba Mwekundu Septemba mwaka wa 2012 kule Pennsylvania. kosa lilinukuliwa mwanzoni na Deadspin na lilitumwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa twitter na Ryan Petzar. kulingana na Don Dimmoff, mkurugenzi wa masoko akiwa wilaya ya shule, kosa lilikuwa aminifu na halikugusia uhalisia wa ratiba za miradi za wadhamini
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
Jumanne bora
Inahusu tarehe muhimu katika kalenda ya kampeni - kwa kawaida Machi mapema - wakati idadi kubwa ya mataifa ya uchaguzi ya msingi. Matumaini ni kwamba ...