
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > kilabu cha usiku
kilabu cha usiku
Pia inajulikana tu kama klabu, au disko ni ukumbi wa burudani ambao kwa kawaida huendelea usiku kucha. klabu cha usiku kwa ujumla kutofautishwa na baa au Mikahawa kwa kuwa kujumuisha sakafu ya kuchezea densi na kibanda cha DJ, ambapo DJ anachezesha ngoma iliyorekodiwa, hip hop, rock, reggae na muziki wa pop.
0
0
향상