![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > Kopi Luwak.
Kopi Luwak.
Ndio kahawa yenye bei kali sana ulimwenguni.hutengenezwa kutokana na mbegu za kahawa zilizoliwa ambayo imeliwa na kutolewa na mnyama aitwaye palm civetni moja kati ya familia ya viveridae ambayo hukuzwa kusini na kusini mashariki mwa Asia. inasherehekewa kwa ladha na utamu wake usio mkali. Utamu wake unachangiwa kutokana na kuweko kwa acidi ya Amino na Peptides ipatikanayo ndani mwa tumbo ya Civet.
0
0
향상
- 품사: 명사
- 동의어: cat_poop_coffee
- 용어블로그:
- 분야/도메인: 음료
- 카테고리: 커피
- Company:
- 제품:
- 두문어-약어:
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
Pamoja Chagua Kamati ya Kupunguza Nakisi
Pia inajulikana kama \"Kamati ya Super,\" Pamoja Chagua Kamati ya Kupunguza Nakisi inaongozwa na Republican Mwakilishi Jeb Hensarling ya ...