Home > Terms > 스와힐리어(SW) > lugha geni

lugha geni

lugha geni ni lugha ya nje isiyopatikana katika nchi fulani. pia ni lugha isiyozungumzwa katika nchi asili ya mtu anayerejelewa, hivi kwamba mtu anayezungumza kizungu na anaishi ujapani anaweza sema kuwa kijapani ni lugha geni kwake. ingawaje sifa hizi mbili hazitoi maelezo kamili, hata hivyo, kubandikwa huku saa zingine hutumika kwa njia zinazopotosha usahihi wa maana.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 3

    Followers

분야/도메인: 사람들 카테고리: 연주자

Michael Jackson (almasi, Watu, wanamuziki)

Zilizonakiliwa aina ya Pop, Michael Joseph Jackson (29 Agosti 1958 - 25 Juni 2009) alikuwa msanii wa muziki wa Marekani sherehe, mchezaji, na ...