Home > Terms > 스와힐리어(SW) > Marc Zuckerbag

Marc Zuckerbag

Marc zuckerbag alizaliwa tarehe kumi na nne,mwezi wa Mei ,mwaka wa elfu moja themanini na nne.yeye ndiye mwanzilishi wa facebook. Alipewa jina la utani Bill Gates wa pili.Zuckerbag alikatisha masomo yake katika chuo cha Havard penye alikua anasomea sayansi ya kompyuta.yeye pamoja na Dustin Mokovitz,Eduardo Saverin na Chris Hughs,wanafunzi wa darasa lake.ndio walishirikiana kuunda Facebook. Zuckerbag alikuja akawa tajiri mchanga zaidi duniani kuwa na ma bilioni.mnamo mwaka wa elfu mbili na nane.

Alitajwa na Time Magazinemtu bora wa mwaka elfu mbili na kumi.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 12

    Followers

분야/도메인: 인터넷 카테고리: 네트워크 서비스

Net neutralitet

sheria uliopitishwa hivi karibuni na FCC, baki Net inahitaji watoa mtandao broadband kuwa detached kabisa na taarifa kwamba ni alimtuma juu ya ...

기여자

주요 용어사전

Characters In The Legend Of Zelda Series

범주: 엔터테인먼트   3 29 Terms

Test Business Blossary

범주: Business   2 1 Terms

Browers Terms By Category