![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
Home > Terms > 스와힐리어(SW) > Usanifu wa uchapaji taarifa wa Darwin (DITA)
Usanifu wa uchapaji taarifa wa Darwin (DITA)
DITA ni usanifu wa data ya XML yenye msingi juu ya mada ya uandishi na uchapishaji wa yaliyomo Mwanzoni iliundwa na IBM katika mwaka wa 1999, vifaa vingi vya kiwango cha tatu sasa vinaauni uandishi wa DITA, kama vile Adobe FrameMaker, XMetal, Arbortext, Mwandishi wa Quark XML, Mhariri wa Oxygen XML, SDL Xopus na CSOFT TermWiki.
Pamoja na uchapishaji wa chanzo kimoja na utumizi mpya wa mada kimfumo, DITA hurusu mashirika kuimarimasha uendeleshaji wa udhabiti na ufanisi wa waraka.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
주요 용어사전
Browers Terms By Category
- 동물 관련 용어(611)
- 동물과 관련된 동사들(25)
동물학(636) Terms
- 모자 & 캡(21)
- 스카프(8)
- 장갑 & 밋턴(벙어리 장갑)(8)
- 머리 장식품(6)