Home > Terms > 스와힐리어(SW) > kituo tarishi cha wavuti
kituo tarishi cha wavuti
Mtandao wa wavuti unaofanya kazi kama kiolesura kwa Mtandao wa watumiaji. Injini nyingi za utafutizi wa mtandao na mitandao ya kijamii zinachukuliwa kuwa viungo tarishi vya wavuti. Utofauti wa hii, kiungo tarishi cha biashara, chaweza kutumiwa pia na taasisi kusaidia kutoa mwongozo kwa wafanyi kazi kwa taarifa inayohitajika ndani ya taasisi au nje ya mtandao.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
분야/도메인: 네트워크 하드웨어 카테고리:
mtandao wa tarakilishi
mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa