Home > Terms > 스와힐리어(SW) > azimio ya mwaka mpya
azimio ya mwaka mpya
Azimio ya mwaka mpya ni ahadi ambayo mtu hufanya kwa lengo moja au zaidi ya kibinafsi, miradi, au kuleta mageuzi ya tabia. Hii mabadiliko ya maisha kwa ujumla hutafsiriwa kama faida na hufanyika ili kuboresha ustawi wa binafsi. Azimio ya mwaka mpya kwa ujumla ni lengo mtu huweka kukamilisha katika mwaka ujao.
0
0
향상
하고 싶은 말
뉴스 속의 용어
추천 용어
lugha tenganishi
lugha tenganishi inaunda lugha za mofimu moja (yaani, kwa mzizi bila udogo) huwa zinatumia maneno fupi pale ambapo lugha nyingine inatumia neno moja ...
주요 용어사전
Browers Terms By Category
- Aeronautics(5992)
- 항공 교통 관제(1257)
- 공항(1242)
- 비행기(949)
- Aircraft maintenance(888)
- Powerplant(616)