Home > Terms > 스와힐리어(SW) > Sikukuu ya kutoa shukrani

Sikukuu ya kutoa shukrani

Sikukuu ya kutoa shukrani ni kauli maarufu inayotumiwa na watu kuadhimisha likizo ya Sikukuu ya Shukrani. Shukrani ni sherehe hasa katika United States siku ya Alhamisi ya nne ya Novemba kila mwaka. Wanafamilia mara nyingi hutumia nafasi hii kukutana na kushiriki kwa karamu kubwa iliyotayarisha na mkuu wa kaya. Sikukuu hii karibu kila mara husherehekewa batamzinga choma. Asili halisi ya likizo hii haijulikani, lakini kwa ujumla inakisiwa kuhusiana na maadhimisho ya mavuno siku za jadi iliyoletwa na walowezi katika Amerika ya Kaskazini kutoka Ulaya.

0
내 용어집에 추가

하고 싶은 말

토론에 대한 게시물을 작성하려면 로그인해야 합니다.

뉴스 속의 용어

추천 용어

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    용어사전

  • 12

    Followers

분야/도메인: 모바일 통신 카테고리: 휴대전화

uliodhabitiwa ukweli

Uliodhabitiwa ukweli (AR) ni teknolojia ambayo unachanganya ulimwengu halisi ya habari na picha ya kompyuta-yanayotokana na maudhui, na zimetolewa ...

주요 용어사전

Food poisoning

범주: Health   2 6 Terms

Indonesian Food

범주: Food   2 11 Terms

Browers Terms By Category